Tangazo: Tovuti ya salayapapa.org inapatikana hewani.

TANGAZO: MTANDAO WA SALA WA PAPA SASA UNAPATIKANA KUPITIA TOVUTI YETU YA KISWAHILI Tunayo furaha kubwa kutangaza kwamba Mtandao wa Sala wa Papa sasa unapatikana kupitia tovuti yetu mpya ya Kiswahili: salayapapa.org. Tovuti hii inashughulikia mada zote zinazohusu Mtandao wa Sala wa Papa duniani na inapatikana kwa lugha mbili, Kiswahili na Kiingereza, kwa ajili ya […]